Signed in as:
filler@godaddy.com
Signed in as:
filler@godaddy.com
Community Event |Tanzanian Food|Drinks | Kids Playground| Music | After BBQ Dance and More!
Wilson Woods Park | Picnic Area 1| 8 Bradford RD, Mt. Vernon, NY 10553
|Zelda: 917-912-3479 | Gaston: 646-359-2367 | Vicky: 443-557-8034 | Kinyasi: 585-642-8633|
Community Event | Outdoor Festival | African, American & Caribbean Food | Music | Dance | Fashion Show & More!
Traphagen School | 72 Lexington Ave, Mt. Vernon, NY 10552
More Information | www.WakandaCelebration.org
Uongozi wa Jumuiya ya WaTanzania wa NY na Viunga vyake (NY/CT/PA/NJ/DE)unapenda kuwatangazia wanajumuiya wetu, ndugu, jamaa, na marafiki zetu kuhusu jumuiko la pamoja la Nyama Choma (NYTC Summer BBQ) litakalofanyika siku ya Jumamosi tarehe 8/20/2022.
Jumuiko letu litafanyika kwenye public park ya Wilson Woods Park, picnic Area 1, katika address ifuatayo 8 Bradford Rd, Mount Vernon, NY 10553, kuanzia saa 12:00PM hadi 9:00PM.
Pamoja na mambo mengine, Jumuiko letu kinategemewa kuwa na vyakula na vinywaji.
Hivyo basi Kamati inapenda kuleta ombi lao kwenu wanajumuiya kutusaidia kufanikisha huu mkutano kwa kuchangia gharama za vyakula na vinywaji kwa kutuma mchango wako wa kiasi chochote kupitia channels zifuatazo za Mhazini Msaidizi wa Jumuiya Kinyasi Monyi:
1. Ca$happ: $kinyasi
2. Zelle: 585-642-8633.
3. Paypal: info@nytanzaniancommunity.org
Ahsanteni,
Dr. Veronica Njwaba
Katibu NYTC
7/30/2021.
Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili hotelini kwake downtown Manhattan tayari kwa kuanza ziara yake jijini New York City kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkuuwa wa mwaka Umoja wa Mataifa. ( Picha zote kwa Hisani ya Dr. Temba @ https://temba.photoshelter.com )
Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula akiwa kwenye mkutano wake na viongozi mbali mbali wa jumuiya za waTanzania USA kwenye moja ya matukio ya Ziara ya Mhe. Rais.
Baadhi ya waTanzania waliohudhuria moja ya mikutano aliyofanya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara ya Mhe. Rais Jijini New York kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa Umoja wa Mataifa (UN).
Baadhi ya viongoi wa jumuiya mbalimbali za diaspora USA wakiwa kwenye mkutano wa Pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula kwenye moja ya matukio ya kumpokea Mhe. Rais.
Viongozi wa Jumuiya ya WaTanzania New York nao hawakuwa nyuma katik mapokezi ya Mhe. Rais. Kutoka kushoto kwenda kulia Kinyasi Monyi (Mhazini Msaidizi), Dr. Veronica Njwaba (Katibu), Mr. Raphael Faida (CPA) (Mhazini), na Dr. Anicetus Temba (Mwenyekiti).
Mwanaharakati maarufu Bi. Mange Kimambi ni mmoja wa waTAnzania kutoka majimbo mbali mbali waliofika New York City kumpokea Mhe. Rais.
Copyright © 2024 New York Tanzanian Community - All Rights Reserved.