Sheria Clinic (Virtual Event)
Bonyeza picha kujisajili na kupokea kiungo cha Zoom.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania NY, NJ, CT & PA unakukaribisha kwenye Sheria Clinic – huduma ya bure ya ushauri wa haki za uhamiaji kupitia Zoom. Mgeni ni Mwanasheria Jayee Kabba, Esq., mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 na leseni NY na NJ. Bonyeza picha kujiandikisha.
Copyright © 2026 New York Tanzanian Community - All Rights Reserved.